Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 696
Ukitaka kujua swala hilo liko njiani angalia maandalizi ya bunge kuwa la CCM pekee Novemba utajua kitachotokea bungeni.Mimi sina chama ila wanaotaka kumuongezea muda rais wanataka kuturudisha enzi za mapinduzi kwani kuna marais wangapi wamepita pamoja na wapambe wao kutaka muda uongezwe lakini waliheshimu sheria isitoshe hoja nzito kama hii ilitakiwa ianzie ndani ya chama
Kura ni ya wazi na tunataka nani hapigi ili tumshughulikie akafie mbali.Msiogope tutapiga kura juu ya hilo, then wengi watashinda. Au mnaogopa mko wachache msiompenda mkulu?
Hatuko tayari kurudi enzi za mapinduziMimi sina chama ila wanaotaka kumuongezea muda rais wanataka kuturudisha enzi za mapinduzi kwani kuna marais wangapi wamepita pamoja na wapambe wao kutaka muda uongezwe lakini waliheshimu sheria isitoshe hoja nzito kama hii ilitakiwa ianzie ndani ya chama
Nimekuelewa mantiki yako lakin jua baba wa taifa alishatoa laana kwa yeyote atakayejaribu.Msiogope tutapiga kura juu ya hilo, then wengi watashinda. Au mnaogopa mko wachache msiompenda mkulu?
Tukosoe kwa hoja tukishindilia kauli za baba wa taifaMatatizo ya wafugaji wakipata madaraka ndio hayo sasa ni wakati mzuri wa kujifunza hivi watu wa jamii hii wakitawala mambo ya kienyeji huwa ndio rasmi. Watu wamechoka kwa kweli na ni aibu sana kwa ushamba wa kiwango hiki.
Viongozi wa Afrika wanamatatizo makubwa sana.Mantiki na msingi wa kuweka ukomo wa vipindi vya urais kuwa miaka kumi ilikuwa ni nini na je, msingi huo hauna maana tena?
Ni kweli wakati wa kuweka ukomo hapakuwa na watanzania wenye uwezo sawa na au hata zaidi ya rais wa sasa?
Ni kweli pia kuwa hivi sasa hakuna mtanzania yeyote anaeweza kuwa rais na akafanya vizuri au hata vizuri zaidi?
Bila shaka wanao pendekeza muda uongezwe wamepitiliza furaha waliyo nayo. Na hata wakiongeza miaka mitano zaidi kwao haita tosha watatamani kuongeza zaidi.
Inamaana hata wewe huwezi kuongoza familia yako ndio maana uko tayari kuongozwa. Heshimu maagizo ya baba wa taifaManeno ya nyerere sio msahafu wa watanzania.
Kufa kila mtu atakufa lazima tuseme ukweliNdugu yangu semea humu humu kama ukijaribu kwenye kikao basi mkeo na wanao hawatakuona tena.
Waache wafanye wafanyavyo kwani wao ndiyo watawala wewe ni nani..?