Mimi ni dereva mzoefu, natafuta Bajaji

Mimi ni dereva mzoefu, natafuta Bajaji

Chiblak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
662
Reaction score
921
Habari wakuu,

Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam.

Contacts. 749662314
Nawaslisha.

Wasalaam
 
Hesabu inakuwa ni sh ngapi kwa siku? na mkataba ni sh ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom