Mimi ni dereva, natafuta gari dogo la kufanya kazi ya kuleta hesabu

Mimi ni dereva, natafuta gari dogo la kufanya kazi ya kuleta hesabu

Iddizahoro

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
6
Reaction score
18
Waungwana habari za majukumu.

Naitwa xx natokea maeneo ya Mikwambe, Kibada, Kigamboni mkoa wa Da es Salaam.

Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST, SIENTA, n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini.

Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu nimategemeo yangu atakuja mtu seriuos ili tuweze kufanya kazi.

0766628723
 
Hii jaribu bank wanakupa gari mpya kadi ni kwa jina lao.
Ukiona biashara labda Kama benki hakiwezi fanya basi ujue itakuwa na risk ambayo haiko calculated.
Wajaribu wape proposal watakudhamini fasta. Benki Wana hela wanatafuta watu wenye mawazo namna ya kutumia hela kuzalisha hela zaidi
 
Back
Top Bottom