Natafuta gari ya mkataba kama kuna mtu anayo anaweza kunitafuta kupitia mawasiliano namba 0787404979 nina uzoefu wa miaka7 kwenye Uber na bolt nina uzoefu mkubwa wa kusafiri sehemu mbalimbali mikoani na pia katika kazi binafsi pia kama kuna mtu binafsi au sehemu yeyote kuna kazi ya udereva nipo tayari kufanya kwa makubaliano