Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wana jamii forum,
Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi
Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
Wanawake wapo wengi sana humu angeandika hitaji anataka mwanamke wa aina ganiUkiwa domo zege Pesa ndîo silaha yako ya mwisho vinginevyo kaa Mbali na vibinti vidogo au Wazee wajane usijepata Kesi ya ubakaji
yuko sahihi . Ulitakaje kwani?Eti mchumba wa kike 😀😀😀
OyaKutongoza tongoza ni ishara ya umasikini
Kuna level fulani ya mafanikio ukifika hauhitaji kutongoza
Panda bustani yako iboreshe vipepeo watajileta wenyewe. Elewa neno bustani na vipepeo
Women are attracted to men lifestyle
😂😂😂🙌🏾Kuku huitwa kwa mchele.....jiongeze kijana
Tafuta hela zitakuletea mchumba bila kutongoza rafiki, tena kila aina ya mchumba atajisogeza so utachagua mwenyeweHabari Wana jamii forum,
Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi
Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
Humo tu