Mimi ni fundi wa magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi Dar es Salaam

Joined
Jun 21, 2021
Posts
29
Reaction score
23
Habari zenu wakuu,

Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
 
Hebu kwanza niambie, nina Starlet yangu moja inakosa nguvu kwenye mlima,nikikagua fuel pump kwa kutoa pipe ya return na nikawasha gari nagundua kua pump ni nzima, so inaweza kua ni nini maana hua nafunga hata plug mpya lakini bado tatizo ni hilo hilo, nini nifanye kingine? kwa uzoefu wako wa ufundi.
 
Hii huwa tunaita "kufa kufaana"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Gari kukosa nguvu inasababishwa na vitu hivi:

Fuel pump, huwenda ikawa inaleta mafuta ila sio kwa presha. Kingine kuna filter inakua kwenye fuel pump nalo liangalie maana kukiwa na uchafu ni shida hiyo cheki na fuel filter.

IGNITION COIL Angalia kama zote zinachoma kwa usahihi. Na plug unafunga za aina gani?
 
Ndiyo ungesema nifunge plug za aina gani? By the way ni Denso yenye kichwa kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa, we si umesema wewe ni fundi chief? Sasa mbona unaniuliza tena mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fundi inatakiwa akague gari kwanza ili kupata ufumbuzi wa tatizo

Kwa sababu tatizo moja linaweza kusababishwa na vitu mbalimbali

Usimlazimishe jamaa apige lamli

Kama uko serious muite aje atatue Hilo tatizo hapo utauna ubora wake sasa.
 
Nakubali brother vipi ukiachana na shughuli nzima za tire kwa upande wa engine, transmission na umeme vipi?
 
Hii huwa tunaita "kufa kufaana"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sometimes watu wenye kihitaji mtaalamu huwa anachokoza kama hivyo ili akusome kwahiyo hapo unaawaacha mtu akitoa madini ambayo sahihi wanamalizana ebu tu niambie kama siyo mwelewa wa fani huwezi uliza swali kama hilo. Huko mi ndo nyumbani kwenye hayo mafani
 
Kwahio unataka Fundi ageuke kua mpiga ramli ili ajue ugonjwa wa Gari yako huko lilipo?
Kabla huja-comment kile mtu kaongea hapa angalia mtililiko wa kile walikua wakisema kuanzia juu ili ujue ulipaswa kuropoka au ukae kimya, wewe ni LGBTQ nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
KUNA KAZI YA KUFUNDISHA WANAFUNZI WA UFUNDI MAGARI LEVEL 1-3
TUWASILIANE 0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…