gongo za jana usiku huwa zinakuwa na athari kwa ubongo nyakati za asubuhi...
bora mnywa gongo likiisha kichwani anaendelea na kazi zake kuliko mtu anayepanga njama za kuwamaliza binadamu wenzake, kuliko yule anayejiita padri na mkombozi wa watanzania huku anaiba wake za watu,anatumia ruzuku za chama kwa shida zake, ni mwanachama wa chama tawala at the sametime upinzani.n.k
mlevi kuliko dikteta wa kile chama cha magwanda anayepanga na kusponser mipango yote haramu dhidi ya binadamu wenzake hasa wanaonekana wana mawazo tofauti na yake.