Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke

Currentmeter

Member
Joined
Jun 8, 2017
Posts
25
Reaction score
10
Habari wana Jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli.

Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke atapata!masharti na vigezo kuzingatia!nasisitiza awe serious most of them mnakuja ku-ejoy watu,awe serious...

Nawasilisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh ata warembo nao wanakuja kuenjoy watu.... Duh
 
Hawa wake wanavyo tafutwa kama unaenda kununua pipi kwa mangi.ila usijali mkuu watakuja,mida mibovu hii.
 
Back
Top Bottom