kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
ki saikolojia ni kwamba wanaume waliokulia kwenye dhiki. na hasa ile ya ukosefu wa lishe wakiwa wadogo hutamani wanawake wanene pale wanapokuwa wamefikia umri wa kuoa.
wale waliokuwa wanakula vizuri na kusaza walipokuwa wadogo, baadaye hupenda kuoa vibinti vyembamba.
akikonda unampa talaka?

Subiri wanakuja kukusaidia kumpata huyo mnene,ushauri tafuta mwembamba umtunze anenepe
naitaji mwenye unene asilia.
akikonda unampa talaka?