Mr Multpurpose
Member
- May 14, 2023
- 24
- 14
Wapendwa samahanini kwa usumbufu, mimi ni kijana wa miaka23 nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya, nipo mkoa wa Pwani Kibaha Loliondo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisha kijiwe cha kupika chapati na maharageWapendwa samahahanini kwa usumbufu mm ni kijana wa miaka23 nima mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya nipo mkoa wa pwani kibaha loliondo
Ongeza ifike 150k kachukue mitumba nusu belo lina nguo 100, kila nguo itakuwa 1500 grade one nguo za kike ambazo utaziuza 7000 hadi 5000.ukiuza vizuri haukosi faida tena kubwa tu
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, Kibaha kuna watu 265,360/- hii maana yake kuna midomo zaidi ya laki mbili na sitini na tano ya kulisha na yenye njaa at any given time. Tafuta sehemu utengeneze simple stand ya kukaanga chips na mishikaki ya kuku na ng'ombe.Wapendwa samahanini kwa usumbufu, mimi ni kijana wa miaka23 nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya, nipo mkoa wa Pwani Kibaha Loliondo.
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, Kibaha kuna watu 265,360/- hii maana yake kuna midomo zaido ya laki mbili na sitini na tano ya kulisha na yenye njaa ata any given time. Tafuta sehemu utengeneze simple stand ya kukaanga chips na mishikaki ya kuku na ng'ombe.
Hakika utaiza hautakoss watu walau 50 wa kupita bandani kwako kwa siku