katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Kwani what happened mbona unatufokea? 😄😄😄Mie ni Mama na mjue kuwa hata mkisema mengi mie ni mama nimeolewa na watoto sio mtoto na watoto wanne mie ni mama.
Juzi kati hapa mnaniandama mie nimtu mzima sana. Ongeeni mengi ila mie ni mama.
Na mume na familia
Nami nimeshangaa kweliWhy do you spend so much time explaining yourself to people who don't deserve it?