Mimi ni member mkongwe sana ila cha kushangaza...

Wewe ni nani?.
Wewe ni yule jamaa mwenye I'd Saba tofauti za jf na kila I'D ina messages sio chini ya 36000 namaanisha elfu thelathini na sita, mwaka 2014 jan 13 ulitengeneza I'd yako ya 3 ambayo ni claudematemu humu jf,
hiyo I'd ukaitumia kwa muda mchache alafu password ya hiyo I'd yako ikakutoka na kuisahau hii I'd yako, miaka 6 baadae baada ya kula ban kwenye zile I'd zako zote Saba za jf, wazo likakujia kwamba una I'd yako ya 8 jf ambayo ina miaka mingi haijatumika, ukawaomba jf wakakutumia password nyingine kwenye Email yako, mwaka 2020 April 10 ukaanzisha mada yako ya kwanza jf alafu ukauliza wewe ni nani nami nikakujibu siku 7 baadae tangu uulize wewe ni nani?.


Usiulize Nimejuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…