Mwana Harakati Active
New Member
- Dec 3, 2024
- 4
- 2
Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa.
Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au vijiji.
Nakerwa sana ma uchafuzi wa mazingira, ulevi holela wa pombe na bhangi mitaani, ukosefu wa maji ya bomba, barabara mbovu, ukosefu wa malezi bora kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, hapa nadhani sio ruhusa kutumia neno 'masikini' lakini mimi sioni shida
Asanteni kwa ushauri. Natafuta kuweza kutumia platform hii vizuri.