Mimi ni mgeni humu

Ally maliki

Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
10
Reaction score
6
Habari wakuu,

Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF.

Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo mwanzo nahitaji mwanga zaidi.

Asanteni
 
Karibu sana JF. Ila ujitahidi kuandika vizuri tafadhali, ili usije ukafungiwa maisha kujihusisha na JF. Sawa?
 
Basi usikeni na ivyo vcha vua habari vya hao walio nitangulia hapo juu na mm ni ivyo ivyo wakuu
Cheko n'lilolitoa sio la nchi hii, hadi naonekana kituko hapa nilipo. Mkuu acha utani bwana, hakiki ulichokiandika.😁😁😁😁😁😁
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…