Mimi ni mgeni jamvini, naombeni mnipokee

Suhendra

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
1,625
Reaction score
3,307
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao wajirekebishe

Kama huna cha kucomment pita hiviiii
Ahsanten.
 
Subiri wanakuja bado wanabishana mpira ni pasi au magoli.
 
Karibu mgeni... Jamvi hili lina mambo mengi mazuri na meusi.. Akili mwukichwa... Chagua kinakufaa.. Kisichokufaa.. Na wewe pita hiviiiii🏃‍♀️🏃‍♀️😁😁
 
Huyu atakuwa mwehu! Mgeni alafu anajua nyuzi na kejeri za hapa?? Mxiuuuu!
 
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao wajirekebishe

Kama huna cha kucomment pita hiviiii
Ahsanten.
Hakikisha post zako zihusishe 2025 na ushindi mno wa Dkt Samia!
 
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao wajirekebishe

Kama huna cha kucomment pita hiviiii
Ahsanten.
Wewe ni mwenyeji jamuhuri hii
 
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao wajirekebishe

Kama huna cha kucomment pita hiviiii
Ahsanten.
Umetoka Mumbai Kanjibai, tuma picha.
 
Back
Top Bottom