azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
- Thread starter
-
- #21
Asante MkuuKaribu sana mkuu
ThawaUnawazaga dhambi tu kila siku! Nilishakuambia acha kukalili.[emoji28]
Karibu sana Mrembo. Usifunge PM lakini!Mimi ni mgeni kaktika platform hii lakn nimeanza kuitumia mda kidog kupitia Google..Jamii forums nashukur sana mmebadilisha maisha yangu na mitazamo yangu mbali mbali..
Naomba mnikaribisheee kwa shangwe na vigelele (Jinsia KE).....na Miungurumo mingi kwa wanaume
"mkuu unayumba acha ushosti apa mi kidume dume"Karibu sana Mrembo. Usifunge PM lakini!