mimi ni mgeni katika jf hivyo naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbalimbali.

Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone! Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote?Karibu sana, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tupate tubadilishane mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…