Mimi ni mgeni, naomba maelekezo

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Kwani kashataja jinsia yake? Kama ni KE, kakuambia yuko single au ni mjane? na ni kitu gani kilimdedisha mmewe?

Kama ni ME... nakuachia wewe mjukuu mtiifu
Huyu ni Ke ndio maana nikakuita najua huniangushagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…