Mimi ni mgeni, ni fahari kuwa hapa

Kazawadi

Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
11
Reaction score
0
Ni jambo la kujivunia kujiunga nanyi waungwana, natumaini ni muda muafaka.
 
Karibu..........kuna wahafidhina na waliberali cjui utakuwa upande gani....au utakuwa mpatanishi?.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…