Mimi ni Mkemia wa Madini (Metallurgist), nipe kazi hizi

The Inspire55

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
12
Reaction score
22
Naitwa Juma Paul kija mhitimu wa taaluma ya ukemia upande wa madini nafanya uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa mfumo wa vat leaching kwa ufanisi na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto za copper, sulphur, zinc, iron na silver nakuto dhahabu yenye purity ya asilimia 90 na kwendelea.

Pia natoa ushauri kwa anayewiwa kuanza biashara hii na wote wenye changamoto juu ya uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa vat leaching, cip, na hata cil naweza toa msaada, napatikana kwa mkoa wa mwanza kwa mawasiliano 0753021057.

Natanguliza Shukrani
 
Mchenjuaji Hongera Sana
Hapa Ulipoweka Tangazo Utapata Wahitaji Haraka
Nakushauri Uwe Unaandika Makala Ama Dondoo Fupi Fupi Hapa JF Ili Watu Wajue Baadhi Ya Mambo Kuhusu Madini Mbalimbali Utengenezaji Pete!!


Ubora Wa Vitu Kama Pete ,Mikufu,Bangiri,Heleni
Ikiwaje Kwa Muonekano Ni Bora Ama Kinyume Chake
 
Nisahihishwe wakuu..ni METULUGIST au METALLURGIST?
 

Njoo Chunya. Thank me later
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…