Mimi ni mpenzi wa Mieleka. Naangalia Monday Night Raw, uwanjani hakuna mashabiki

Joined
Mar 6, 2020
Posts
50
Reaction score
103
Mm ni mpenzi wa Mieleka. Naangalia Monday Night Raw, uwanjani hakuna mashabiki hata mmoja lakini game linaendelea kupigwa kinyama.

By the way, Rand Orton atamuweza EDGE kweli, au ndio misifa mingine ya kijinga?

Drew Macintyre kwa sasa ndio tishio ndani ya WWE.

Sent using [Iphone XS Max]
 
Dah, niliangalia marudio leo asubuhi sijui ya lini, Nimeshangaa sana Uwanja hauna mashabiki. Hii Corona imekuja na mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…