Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Duniani kote upinzani wana agenda ya ajira kwa vijana na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.
Kwa Tanzania mambo ni tofauti upinzani wanasera nyepesi mno utasikia tunataka uchaguzi wa haki na Katiba mpya tu
Instead ya kushawishi watu kwenye angle zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja kila siku ni hamna sasa utashinda vipi?
Mtaani kuna vijana wasomi roughly 10m+ ambao hawana ajira na kila mwaka wanaongezeka 1m huwezi kusikia upinzani ukisimama kidete kutetea.
Kuna ajira za afya na elimu zilitangazwa tangu mwezi wa 6 kwa afya na mwezi wa 7 kwa elimu hadi leo vijana hajaripoti kazini ni interview na milolongo ya kijingajinga tu ndani ya Wizara inayohusika upinzani upo kimyaa.
Vijana wamejikatia tamaa wanakimbilia kwenye ulevi na kamari hakuna mpinzani anaetoka hadharani kusemelea.
CCM imeshindwa kuajiri vijana imefanya maisha kuwa magumu Tanzania ilitakiwa upinzani ushike dola ila ndo hivyo wanakosa sera zenye ushawishi.
VIONGOZI WA UPINZANI AMKENI
Pia soma:Namna viongozi wa vyama Vya Upinzani wanavyotumia vyama na majina yao kujipia fedha kwa kuhujumu na uzandiki