allykihamba
Member
- Sep 5, 2015
- 41
- 21
Karibu sana lakini ukiposti mambo ya CCM utatukanwa sana. Ukitaka kuwa salama sifia UKAWA na muone Lowassa kama Mungu wako na ni marufuku kukosoa CHADEMA wala kumsema Mbowe vibaya. Karibu sana JF.Naomba Kukaribishwa pa1bna ushirikiano wenu
Naomba Kukaribishwa pa1bna ushirikiano wenu
Kwa nn uandikie mate? Hebu anzisha thread inayosema "Lowassa kuanguka vibaya October 25" au "Mbowe ni janga la kitaifa" halafu usikilizie muziki wake. Halafu anzisha nyingine mf. Magufuli Chalii... Utaitwa kamanda na kusifiwa balaa. Karibu sana JF hii mpya iliyojaa unafiki, uchumia tumbo, udikteta na uadui.Usisikilize UZUSHI wa VIBARAKA. Hapa JF "People talks freely"
Kwa nn uandikie mate? Hebu anzisha thread inayosema "Lowassa kuanguka vibaya October 25" au "Mbowe ni janga la kitaifa" halafu usikilizie muziki wake. Halafu anzisha nyingine mf. Magufuli Chalii... Utaitwa kamanda na kusifiwa balaa. Karibu sana JF hii mpya iliyojaa unafiki, uchumia tumbo, udikteta na uadui.