Mimi ni mtaalam wa umeme wa magari

Mimi ni mtaalam wa umeme wa magari

Amo G Tz

Member
Joined
May 27, 2018
Posts
10
Reaction score
1
Mtaalamu wa umeme wa magari 'Morogoro kwa matatizo ya umeme wa magari tucheki! Kwa msaada na kwa huduma pia kwa matatizo ya Taa!'starting system'sensors' zaid kwa matatizo na namna ya kuclear CHECK ENGINE light on dashboardcn
 
Hivi ni kweli ukiwasha taa ya booster bila balbu yake unaua booster....???
 
B
Naomba kujua hii booster mliotaja hapa ni nini? Naona nipo gizani au mwingine?
Booster ni kifaa kinachotumika kwenye magari hasa kwenye mfumo wa taa au mziki wa gari kukuza au kuongeza utendajikazi zaidi wa kifaa kilichokusudiwa kama taaa zinakuwa na mwanga mkali mnooo then kama mziki unakuwa na sauti kubwa mno inshort ni mfumo wa mashine unaowekwa kwenye gari kuongeza nguvu ya utendaji kwenye kifaa kilichokusudiwa
 
Okay, nimekupata ila taa hazina booster! Mfumo wa HID utumia ballast ambayo ni mfumo wa coil na tofauti na booster/amplifier ya mziki
 
Waya upi... Unaotoka kwenye betri au unaingia kwenye solenoid?
 
Back
Top Bottom