Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 750
- 656
Tatizo ni kuwa waganga wa kiasili kutoka TZ huwa mara mingi ni wachawi na wapiga ramli. Hata hivyo unaweza kutafuta 'Makini herbal clinic" kwenye mtandao. Clinic hiyo inamilikiwa na mama wake mwimbaji Prezzo
Hebu pia tafuta Murugu herbal clinic. Hao wako mpaka na labs za kuresearch hizo madawa miti shamba...
Usikariri kijana!Tatizo ni kuwa waganga wa kiasili kutoka TZ huwa mara mingi ni wachawi na wapiga ramli. Hata hivyo unaweza kutafuta 'Makini herbal clinic" kwenye mtandao. Clinic hiyo inamilikiwa na mama wake mwimbaji Prezzo