Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

Joined
Oct 6, 2022
Posts
18
Reaction score
24
Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance.

Check me 0743303233 au 0673803233
 
Habari Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24 natafuta shule ya kufundisha science chemistry and biology olevo na advance hata primary pia nafundisha

Check me 0743303233 au 0673803233
 
Aanh poa poa ndugu yangu pia kama kuna sehem wanahitaji chemistry na biology utaniambia
 
+255 756 724 875 huyu ni mwalimu wa taaluma. Shule iko Moshi. Anaitwa simon Kitaly. Hakikisha umempigia ikiwezekana anza safari leo leo coz interview ni kesho
 
+255 756 724 875 huyu ni mwalimu wa taaluma. Shule iko Moshi. Anaitwa simon Kitaly. Hakikisha umempigia ikiwezekana anza safari leo leo coz interview ni kesho
Nashukuru sana kaka asante sana mungu akubariki
 
Back
Top Bottom