Mimi ni mwanachama mpya wa JF

Mimi ni mwanachama mpya wa JF

Joined
Apr 22, 2016
Posts
37
Reaction score
4
Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
 
Jitambulishe vizuri kwanza ndipo tukukaribishe
wewe inatokea pande gani ya kenya?Nakuru,kisumu,Eldoreti au Mombasa?
 
Karibu sana, ni chama gani cha siasa kinakuvutia nchini Tanzania?
 
Mkuu karbu sana, jisikie upo geto kwako, ila sasa vp nlkuwa nahtaji demu wa ki-Kenya naweza pata?
 
Kwani wilaya ya Handeni kuna eneo linaitwa kenya? karibu sana na hakikisha wazigua wote wanajivunia uwepo wako humu jf.
 
Back
Top Bottom