NEEMA MWAIPUNGU
Member
- May 22, 2012
- 43
- 1
mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kuingia chuo kikuu cha ifm kuchukua degree lakini sina uwezo kwa sasa na hata mkopo sikubahatika kupata baba yangu alikwisha faliki miaka mingi liyopita na mama yangu amepunguzwa kwenye ajira yake hivyo nilikuwa nnapenda kuchukua fulsa hii kuomba msaada wa mawazo na pia ajira kama nitafanikiwa kupata kwa kweli na kama ikiwezekana jioni baada ya vipindi vyangu au au hata cku amabzo nakuwa sina vipindi ili niweze kujisaidia na kujisongesha na maisha yangu nashukuru kwa kunisikiliza
mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kuingia chuo kikuu cha ifm kuchukua degree lakini sina uwezo kwa sasa na hata mkopo sikubahatika kupata baba yangu alikwisha faliki miaka mingi liyopita na mama yangu amepunguzwa kwenye ajira yake hivyo nilikuwa nnapenda kuchukua fulsa hii kuomba msaada wa mawazo na pia ajira kama nitafanikiwa kupata kwa kweli na kama ikiwezekana jioni baada ya vipindi vyangu au au hata cku amabzo nakuwa sina vipindi ili niweze kujisaidia na kujisongesha na maisha yangu nashukuru kwa kunisikiliza[/QUOTE]
Pole sana dada ila usikate tamaa utafanikiwa tu. siku nyingine unapo post ujumbe wako hasa unaohusu kusaidiwa kibarua cha kazi uwe makini kuandika na kutumia aina za maneno ni haya tu makutakia mafanikio mema.

Show sympathy even fora second in yo life.
nashukuruni ndugu zangu kwa hilo mbarikiwe xana 2 kwa mawazo yenu pevu kwa kweli be blessed ntafanya hvyo naiman kuwa nkikata rufaa yaweza kuwa ni moja ya njia yangu kutoka ! 10x
Ila kweli dada umewekaweka maneno ya ajabu ajabu kama upo facebook ila ujumbe umefika