Mimi ni mwanaume rijali ninaeogopa madudu washawasha na umbali wa kutoka juu hadi chini

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kusema ukweli Mimi ni rijali na vigezo vifuatavyo vinathibitisha Hilo.

  • Nina six pack
  • Mrefu
  • Mweusi
  • Katili kidogo
  • Sijawahi kupigwa kwenye ngumi.
Nk

Ila udhaifu wangu ukitaka nilie kama mtoto mdogo nirushie dudu washawasha lenye manyoya na likitembea linajinyonga nyonga.

Uoga wangu wa pili ni kuangalia chini ninapokuwa juu gorofani au kupita kwenye madaraja ya kiteputepu (wenyeji wa tukuyu wanayajua) aisee siwezi kabisa miguu inatetemeka na mwili kukaa jasho.

Ila ukiniambia nilale makaburini au nitembee makaburini usiku siogopi.

Kimsingi kila mwanaume ana uoga wake kuna jamaa yangu akimuona paka anajificha nyuma yangu ila nimbabe.
 
njoo tusizipige fold Mayweather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…