'Mimi ni nani' ya Roma imebuma

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Ngoma ya Msanii Roma Inayoitwa Mimi ni Nani haijafanya vizuri kama ilivyotarajiwa au ilivyotanguliwa na ile ya Nipeni Maua yangu

Je shida ni nini? Amekosa content au style ya ngoma yake hii ya mimi ni nani haijawavutia wadau au kashindwa kwenda na soko la sasa linataka nini?
 
Watu tuko bize na bandarini hakuna cha kututoa kwenye reli.
Wasudani wamebuma
Mwanafunzi na baba jose wamebuma
Watu tupo serious na bandarini mnatuletea uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…