'Mimi ni nani' ya Roma imebuma

Staili yake ya kuimba inachosha yaani kama anaongea tu.
 
Watu wanaogopa kufa ndio maana
 
Hampendi mimbo ya kushirikisha akili...mnapenda paka mate iteleze...
 
Jamaa naona content zimemuishia..hamna wimbo humo!
 
Jamaa nmeacha kumsikilza muda sasa nyimbo ya mwisho ya roma labda mkombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…