Mimi ni new member katika platform hii

Mimi ni new member katika platform hii

Habari zenu wapendwa natumai nyote wazima wa Afya.

Mimi ni new member katika platform hii naombeni ushirikino wenu .Pia nayo furaha kubwa ndani yangu kujinga na JF. Naamini hiki ni kisima cha maarifa.
Me au Ke
 
Hayo maarifa ukishayachota , uyachuje pia. Kuna ujinga mwingi sana humu!
Ila karibu sana!
 
Back
Top Bottom