BWANA TANGAWIZI
Member
- Oct 13, 2020
- 6
- 5
ShukranTupo pamoja
Asante sanaKaribu sana mkuu.
Asante sana brendaKaribu Sana
Kma mimiHabari zenu wapendwa natumai nyote wazima wa Afya.
Mimi ni new member katika platform hii naombeni ushirikino wenu .Pia nayo furaha kubwa ndani yangu kujinga na JF. Naamini hiki ni kisima cha maarifa.
Haha karibu mkuuKma mimi
Me au KeHabari zenu wapendwa natumai nyote wazima wa Afya.
Mimi ni new member katika platform hii naombeni ushirikino wenu .Pia nayo furaha kubwa ndani yangu kujinga na JF. Naamini hiki ni kisima cha maarifa.
ManMe au Ke
Hayo maarifa ukishayachota , uyachuje pia. Kuna ujinga mwingi sana humu!Habari zenu wapendwa natumai nyote wazima wa Afya.