Mimi ni shabiki wa Niffah na nampenda ila nahuzunishwa na talaka aliyopewa na jasusi bobevu

Mbona una hangaika sana?
 
Kiukweli nampenda na namkubali Nifah ila niliumizwa sana na yeye kuachika kwake na jasusi bobevu inshalah Mungu atawaunganisha tena. Tumuombee Nifah arudiwe na jasusi.
Broh, huyo binti alisha move on na ana mahusiano mengine. Mbona kama Nia yako ni kuingiza mtafaruku kwenye mahusiano yake mapya?
 
Ni wachache humu tunafahamu ujinga wako....

Leo umeamua kujianika kwa kila mtu sasa...

Kweli ujinga haujifichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…