Hakuna mtu aliyetarajia Simba kujitafuta kiasi kile katika mechi dhidi ya Coastal Union wagosi wa kaya.
Kwa tunaoona kwa jicho la tatu,tunaona uwekezaji wa yanga nje ya uwanja ni mkubwa mno kiasi kwamba wanauwezo wa kuamua Simba adroo au ashindwe mechi ipi.Hata ukiona matukio ya utata ya waamuzi, sio kwamba wanatupenda,bali ni mbinu chafu tu zinazoratibiwa ki- injinia nje ya uwanja ili kuichafua timu.
Mtakumbuka baada ya yanga kuanza kucheza yalianza kuonekana makosa ya kibinadamu kwa waamuzi.Zilipopigwa kelele wao kwa kuwa wamejipanga,wakaamua kuwatuma watu wao wafanye makosa ya maksudi ya kuichafua Simba.Na kibaya zaidi wanakwenda kwa timu pinzani na kuwaambia leo mtaonewa na mwamuzi.Sio ajabu kuona walimu wa timu kama Azam na Dodoma wakiongea kama mashabiki wakiwatuhumu wazi wazi waamuzi ambao wana maelekezo kutoka jangwani.
Kitu cha muhimu kwa sasa nadhani viongozi wa Simba watumie akili zao vizuri uongozi siyo kitu kidogo.Nje ya uwanja tumeshapigwa 5-1 hadi sasa.Sio kitu kidogo hawa jamaa kutoa kafara ya damu za ng'ombe karibu kila mechi huku pembeni wakiwa na kikosi kazi cha kimafia kama cha ccm