Mimi ni Simba: ila hii Yanga inakera

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza

Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi vitimu vya nafasi ya tatu na ya pili vinaonekana havipo serious - maana vyenyewee vinagombea nafasi ya pili na ya tatu na vinaona raha
 
Uyo jamaa hapo pembeni anapua ndefu kama ya mzungu。
Siku hizi kwenye mabanda ya mpira hakuna watu kabsa, sijui tatizo ni mvua au nn?
 
Huyo kijana aliebebwa anapata mlo kweli au ni stress tu za simba??

Ni kweli kitambi ni uchafu basi at least uwe na kamwili aloo.

Mpaka hao jamaa hapo juu wamembeba kwa vidole tu, simba konyo dadeki.
 
Huyo kijana aliebebwa anapata mlo kweli au ni stress tu za simba??

Ni kweli kitambi ni uchafu basi at least uwe na kamwili aloo.

Mpaka hao jamaa hapo juu wamembeba kwa vidole tu, simba konyo dadeki.
Tatizo ni stress za simba
 
Huyu mkaka jaman hakua amekula au ndo mwili wake? Sitaki kuamini Simba inakondesha kiasi hiki, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Omba yasikukute mkuu....

Hivi umeona Hali anayopitia kolo mwenzako Kalpana ....amekonda .anashinda tu kulala kisa Simba [emoji23]
 
Timu haifungwi....Lambalamba walimfunga naniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…