Mimi ni Simba: ila hii Yanga inakera

Yaaah mkuu...haya ndo majibu ya usajili wetu
vipi unaonaje kama Simba ikishuka daraja ikawa inashiriki tu championship, ikawacha hao wengine kwenye ligi ili wanayanga wakapata amani ya moyo na furaha kwa kushinda kila mechi daima na milele?
 
vipi unaonaje kama Simba ikishuka daraja ikawa inashiriki tu championship, ikawacha hao wengine kwenye ligi ili wanayanga wakapata amani ya moyo na furaha kwa kushinda kila mechi daima na milele?
Ligi itakosa mvuto....
 
Nyie mamluki hata mje na Gadi kumi tutawagawia kulingana na idadi...njooni taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…