mimi ni supplier wa building materials kama mawe mchanga,mawe ya tanga matofali mbao nk

Joined
Jun 16, 2012
Posts
6
Reaction score
0
kwa huduma za materials ya ujenzi kama mchanga, mawe,mbao, matofali,nk wasiliana nami kwa namba 0768877559 tupo mkoani arusha na tunafanya kazi nchi nzima
 
Upo mkoa gani???? Hebu vutia tangazo lako kwa kusema nini hasa unauza na offer zake kama zipo.
 
Niko dar, naweza kupata interlocking blocks? Bei ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…