Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Zamani nilikuwa katibu kata sasa nimepindishwa cheo
Sifa zangu (nyingine za kijinga)
. Kupenda mipasho ya mitandaoni
. Hulka ya kujiona najua kila kitu
. Hasira na ghadhabu bila sababu za msingi
. Vinyongo vikali mno
. visasi na malipizi kwa uzito unaostahili
. Kwangu mimi adui simpondi Miguel namponda kichwa
. Mimi ni mchoyo na mbinafsi sana
. Mimi ndio nikisema hakuna wa kupinga hata yeye!!!
. Tivu ni best yangu longtime kitambo… hatukutana barabarani
Nina shekeli
Nina connection
Nina pawa
Nina say
Nina madame
Nina vyote huwezi kuniambia kitu wewe boya !!!!
Hivi unanijua mimi ni nani?
Mpige chuma huyo.., paaa!! Paaaa!!paaa!! Mayele kakosa goli.,, kapaisha!
Tanganyika!!!