Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

hilo wazo ndo ushare hapa kaka au nikufuate inbox?
 
Asante mkuu ngoja nilifanyie kazi hilli
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Kuwa mwanamuziki
2. Kuwa muandaaji wa matamasha mbalimbali ya muziki na burudani na sherehe mbalimbali
3. Kuwa DJ
4. Fanya kazi yoyote inayohusiana na wasanii
5. Kuwa kiongozi wa wasanii
6. Fanya SHUGHULI yoyote inayohusiana na burudani

Ukitaka ufanikiwe zaidi fanya kazi hizo ukishirikiana na wengine na siyo peke yako

Pia punguza majisifu (ego)
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development

14/7
 
14/07/1994
 
Sawa mpaka sasa umefanya Project ngapi?
 
14/07/1994
Fanya kazi zifuatazo

1. Kuwa nesi (nurse)
2. Kuwa mwanasiasa
3. Kuwa mwandishi wa habari

*Utafanikiwa kirahisi ukifanya kazi ukiwa peke yako (solitude)

* Punguza huruma
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Kuwa nesi (nurse)
2. Kuwa mwanasiasa
3. Kuwa mwandishi wa habari

*Utafanikiwa kirahisi ukifanya kazi ukiwa peke yako (solitude)

* Punguza huruma

Mbili na tatu ni sawa ila Kwa nurse tarehe yake life path nyota haviruhusu...
Tarehe 14 ambayo ki numerology ni 5 inayo ongozwa na mercury (Sayari ya Mawasiliano)..

So maybe awe nurse muongeaji kuliko vitendo..

Pia Life path yake kulingna na siku ,mwezi na mwaka aliozaliwa ni 8.. na 8 inaongozwa na sayari ya saturn
So Saturn ni Sayari ya uongozi hivyo huyu ni kiongozi wa asili hata ukimweka aongozwe lazima atatoa mapendekezo kwa kiongozi jinsi ya kuongoza...

Kwakuwa yye ni born leader au natural leader Na kiongozi wa organisation

So kwa Nurse hapana
 
Mimi situmii life path number wala sayari au nyota kama unavyoeleza wewe
 
Mimi situmii life path number wala sayari au nyota kama unavyoeleza wewe
Unatumia nini Mkuu maana elimu zote za utambuzi zinatoka kwenye number(Numerology) then ndo zinagawanyika kutokana na tawala za namba..

Na mkuu hapo sijatumia Nyota
 
Unatumia nini Mkuu maana elimu zote za utambuzi zinatoka kwenye number(Numerology) then ndo zinagawanyika kutokana na tawala za namba..

Na mkuu hapo sijatumia Nyota
Nawatumia Malaika (angels)
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
25/09
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…