Mimi nifundi vioo Naomba kunjua jinsi yakupata wateja

1. Tumia lugha ya staha na ya heshima siku zote

2. Pita kwenye saiti wanapojenga nyumba, omba tenda ya kuwaandalia madirisha

3. Jiunge kwenye Mitandao ya kibiashara kama marketplace na JamiiForums, jitangaze kwa ustadi wa hali ya juu.

4. Toa zaka, fanya maombi na kuwa mbunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…