Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding, Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection

Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding, Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection

Joined
Jul 24, 2018
Posts
39
Reaction score
61
Habarin wadau wa JF

Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk.

Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau potepote pale mikoani naenda nipo mwanza
phone number
0614853457
0756557949
0705241212j_HDR-1.jpg
 
Nimeona picha ya kwanza una kazi ya kutosha tu, wewe ulikuwa unatakaje na ofisi unayo hapo,
Mzee hiyo ni kazi ya mtu tu kama wewe kapatania yeye akanipa ndyo nikapata mtaji wa kununua vifaa chief lkn now nipo mtaan kaka
 
Unataka ofisi ya nini? Huna kwako? Hapo hapo ulipo si ndiyo ofisini yenyewe?
Nahitaji connection ya kaz mkuu hapo ni site ya mtu tu mkuu nimeshamaliza ndyo nikapata mtaji wa vifaa
 

Attachments

  • IMG_20241110_164631.jpg
    IMG_20241110_164631.jpg
    991.5 KB · Views: 5
Back
Top Bottom