Mimi nilijitoa masomo ya sayansi. Hawa wanasayansi wa kujadili jezi za Simba na Yanga tusahau kuona uvumbuzi mpya

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello!

Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry.

Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa sijamsikia hata mmoja amefanya vumbuzi ya kuamsha nchi au Bara la Afrika. Hata uvumbuzi wa kuamsha kijiji sijasikia.

Wale ambao A level walijiona akina Newton sisi na HGL zetu nao hamna habari mpya nilizozipata toka kwao. Mostly walikaza na mwishowe kusoma Uinjinia na Udaktari basi. Hawa Mimi nasema wamesoma history of science.

Kama mind zao wangetoa Simba na Yanga, wangetoa kusoma kwa sifa, wangetoa GPA huenda wangefanya uvumbuzi wa kuisaidia nchi yetu. Ukifuatilia research za Wahandisi wa mwaka wa nne unaweza ukaishia kucheka.

Mtu anagundua mashine ya kukamua juice ambayo gharama ya production inafika laki 2 huku Kariakoo za mtumba zinauzwa elfu 40.

Wanasayansi wetu hebu itoeni Simba na Yanga kichwani mweni, kisha toeni GPA mtafanya jambo zuri.

Nyie ndio mwapaswa kuwa mfano wa kujiajiri na kuajiri Watanzania wenzenu sio kwenda kuajiriwa na wahindi.

Atatokea Zombie mmoja kusema niliachayo masomo. No. Mimi nilisoma secondary kipindi kile shule za kata ndo zinaanza, nilifaulu shule ya kitaifa. Zama zile ukirudi likizo umetinga t-shirt ya shule za kitaifa unavimba wilaya yote unajulikana. Kama mpenda totozi ndo usiseme. Hesabu niliongoza matokeo ya kidato cha 4 shuleni kwetu.

Physics na Chemistry nilizizika form two, nilipass fresh tu, sema uvivu ndio sababu ya kuacha baadhi ya masomo.
 
Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa sijamsikia hata mmoja amefanya vumbuzi ya kuamsha nchi au Bara la Afrika.
Hata uvumbuzi wa kuamsha kijiji sijasikia.
Wale ambao A level walijiona akina Newton sisi na HGL zetu nao hamna habari mpya nilizozipata toka kwao
Mostly walikaza na mwishowe kusoma Uinjinia na Udaktari basi.
Hawa Mimi nasema wamesoma history of science.
Kama mind zao wangetoa Simba na Yanga, wangetoa kusoma kwa sifa, wangetoa GPA huenda wangefanya uvumbuzi wa kuisaidia nchi yetu.
Ukifuatilia research za Wahandisi wa mwaka wa nne unaweza ukaishia kucheka.
Mtu anagundua mashine ya kukamua juice ambayo gharama ya production inafika laki 2 huku Kariakoo za mtumba zinauzwa elfu 40.
Wanasayansi wetu hebu itoeni Simba na Yanga kichwani mweni, kisha toeni GPA mtafanya jambo zuri.
Nyie ndio mwapaswa kuwa mfano wa kujiajiri na kuajiri Watanzania wenzenu sio kwenda kuajiriwa na wahindi.
Atatokea Zombie mmoja kusema nilicheka hayo masomo. No, Hesabu niliongoza matokeo ya kidato cha 4 shuleni kwetu. Physics na Chemistry nilizizika form two, nilipass fresh tu, sema uvivu ndio sababu ya kuacha baadhi ya masomo.
Shule inatengeneza wafanyakazi.
 
Tatizo ni wakukariri mtu ana A ya physics lakini hawezi fanya wiring hata kwenye chumba kimoja
 
Viongozi ni wa kulaani yaani wameharibu mfumo wa elimu halafu waliosoma wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe
 
Hii inanikumbusha ile slogan ya wazungu kwamba "If you want to kill arabs just give them guns they will end up killing themselves! Yaani aliyesoma shule ya kata anamlaumu mwanafunzi aliyesoma nae shule moja kwamba hajafanya uvumbuzi na wakati walikuwa wanasoma kwa taa za chemli shule haina hata mkasi wa kufanyia practical huu nao ni uchawi
 
Hello!

Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry.

Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa sijamsikia hata mmoja amefanya vumbuzi ya kuamsha nchi au Bara la Afrika. Hata uvumbuzi wa kuamsha kijiji sijasikia.

Wale ambao A level walijiona akina Newton sisi na HGL zetu nao hamna habari mpya nilizozipata toka kwao. Mostly walikaza na mwishowe kusoma Uinjinia na Udaktari basi. Hawa Mimi nasema wamesoma history of science.

Kama mind zao wangetoa Simba na Yanga, wangetoa kusoma kwa sifa, wangetoa GPA huenda wangefanya uvumbuzi wa kuisaidia nchi yetu. Ukifuatilia research za Wahandisi wa mwaka wa nne unaweza ukaishia kucheka.

Mtu anagundua mashine ya kukamua juice ambayo gharama ya production inafika laki 2 huku Kariakoo za mtumba zinauzwa elfu 40.

Wanasayansi wetu hebu itoeni Simba na Yanga kichwani mweni, kisha toeni GPA mtafanya jambo zuri.

Nyie ndio mwapaswa kuwa mfano wa kujiajiri na kuajiri Watanzania wenzenu sio kwenda kuajiriwa na wahindi.

Atatokea Zombie mmoja kusema niliachayo masomo. No. Mimi nilisoma secondary kipindi kile shule za kata ndo zinaanza, nilifaulu shule ya kitaifa. Zama zile ukirudi likizo umetinga t-shirt ya shule za kitaifa unavimba wilaya yote unajulikana. Kama mpenda totozi ndo usiseme. Hesabu niliongoza matokeo ya kidato cha 4 shuleni kwetu.

Physics na Chemistry nilizizika form two, nilipass fresh tu, sema uvivu ndio sababu ya kuacha baadhi ya masomo.
Naona wanasayansi kimu wanapita kama wanaaga maiti
 
Back
Top Bottom