Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira rasmi.
Kwa sasa nimeoa
Na nina masters nimeipata 2021
Hapa katikati nilikuwa nafanya ujambazi mkubwa Sana hadi pale nilipoona watoto wadogo wanauliwa katika mission nilio-wapangia 😭 RIP.
Nimezaliwa 1981
Nimeishi ulaya Ila mzee wangu alinirudisha kijijini baada ya kujua kuwa navuta bangi .
Nitaelezea ni namna gani nimeishi mediocre life
Majuto
Nilimfundisha Kijana kuvuta bangi Leo amekuwa amedata.
Kwa sasa nimeokoka na namtumikia Mungu
Nb Mimi ni first born na Mimi ndo masikini katika familia yetu
Na nafikiri huu umasikini ni kwakuwa nalipa gharama za karma