Mimi nina kipaji cha kuandika story na kuigiza ila sina udhamini

Mimi nina kipaji cha kuandika story na kuigiza ila sina udhamini

Joined
Jan 3, 2024
Posts
26
Reaction score
25
Mimi nina kipaji cha kuandika story na kuigiza ila sina udhamini, ni wapi naweza kupata msaada wa kushikwa mkono nikafanya kazi ya uigizaji?
 
Unatunga hadithi za aina gani. Ungeonyesha hata moja kama ya kukutangaza tumia mitandao kujutangaza kwa kuandika au kurekodi hata kwa simu watu wataona
 
kama uko dar jua hizo ndo tabia za wakazi wote wa dar sio kipaji ila kama upo mkoani fanya uje dar au uitumie vzr sanaa ya uigizaji uwapge pesa wanakijiji hao
 
Salam sana mkuu Mimi pia nina kipaji cha KUIGIZA lakini Sina platform yakuweza kuonesha lakini naimani kwamba tukikaa chini tutafanya jambo
 
Back
Top Bottom