Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lohHahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
Kwakua umetoka usingizini basi uko sahihi, kinyume na hapo ningekuomba unipe tofauti ya kusoma na kuelimika.Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Msomi wa masters ndio kozi gani hii? Mbona hata elimu basic kabisa ya kukupa sifa hata za kuwa mkuu wa mkoa huna? KKK?Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Ushauri ni hivi..... kama umeshona mifuko ya suruali yako humpati yeyote humu. jipange utenge fungu la kutosha umpe tuone kama hutafanikisha lengoWandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Jina lako la mwisho ni mkosi, badili haraka iwezekanavyo.Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Uyo ni msagajiWandugu Habari

Duh! Hilo nalo tatizoWanaume wengi wa Jf Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
Mmh kwa mwandiko huo! Sijui kuna typing errors kibao na sidhani kama ni kweli hiyo elimu yakoWandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
HaaaahMsomi wa masters ndio kozi gani hii? Mbona hata elimu basic kabisa ya kukupa sifa hata za kuwa mkuu wa mkoa huna? KKK?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
nakuja kukutumia 1 sasaiv ila sina pesaWanaume wengi wa Jf Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
cc Miss NatafutaWandugu Habari