Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Ukiona hivyo bado hujawa maarufu maana wasichana/wanawake wa Jf ni sheedaa,,,,

Watu hawaangaliii master's
 
Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
Imethibishwa na Mshana Jr kweli hii..??
 
Pole sana jitie moyo vuta subira dunia siyo kama unavyoidhania, shukuru hata kwa kutokuja nani ajuaye nini kingekupata!!Jifunze kushukuru kwa kila jambo
 
Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Te te te magazeti ya daily news
 
Masters yako ina manufaa gani huko pm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…