umenikumbusha mbali, ni nzuri maana hazichubui, hawa wa cku izi bila pampers eti hawalali! chezeya kisempele!
Oh sikujua, sasa huyu ummu kulthum mwanae kamrudisha kwa babake Mr Rocky au umekubali kuishi naye na kautundu kake?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijambo rafiki mwema. Umepotelea wapi? Kijana wetu anaendeleaje, bado ananyonya au ushamuachisha?
We mzee umeanza uhuni zamani sana.Sijambo rafiki mwema. Umepotelea wapi? Kijana wetu anaendeleaje, bado ananyonya au ushamuachisha?
Nipo babuDuh we mzee wa kufufua makaburi umeshafufuka?