Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Hapa kuna nini Asprin?

Mi nipo kule kwa Agnes Masogange bana

Aisee shem cacico popote ulipo come zis way. Sikupigii kura coz nataka leo tuwe wote mtu an shemejiye.:eek2:
Hommie, Kaizer, kuhusu cacico umepotea njia ananipenda mimi tu kwasababu nampa malovee... mambo ya sex alishayapiga chini siku miiiiingi!
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa kumbe ndio maana sikusomi? haya masogange anasemaje?? mi na masogange nani zaidi?? lol?

haaaaa cacico yani nikulinganishe na masogange kisa gani? Unadhani ninamsikiliza Asprin hapo juu eti wala nisijihangaishe na wewe..hahahaa mi nakomaa mwanzo mwisho shem leo tutoke wote .....nipo sana shem masogange ni 'upepo utapita tu'
 
Last edited by a moderator:
hivi we upo kichit chat zaidi?? chezeiya mke wa odm?? hata kama hubby wangu hana, mademu wanampenda, wanamhonga, na mi ananipa! hubby mi luv u! period!
Afu mwambie kabisa hatukujuana juzi...




Kamata kiss wife



Wenye wivu wameze viwembe viwakwame kooni.... Mmwwwwwaaahh!
 
haaaaa cacico yani nikulinganishe na masogange kisa gani? Unadhani ninamsikiliza Asprin hapo juu eti wala nisijihangaishe na wewe..hahahaa mi nakomaa mwanzo mwisho shem leo tutoke wote .....nipo sana shem masogange ni 'upepo utapita tu'
kwa kweli ungenifananisha naye ningejiona matawi! maana hii shepu ya pilipili hoho, sijui nani yu ataka kuiona, ila hubby Asprin hana shida, ye kajizoelea! haya shem tutaongea, tutapanga, itabidi tunong'one hubby asisikie! kwani mkeo gfsonwin yupo wapi?? mbona simsomi?
 
Last edited by a moderator:
Afu wife popote pale ulipo, hebu come this way nikupe haya makitu matamu....



hubby naomba training ya kugoogle pics! lol! tuifanyie rum wawili tu! lazma nitaelewa, kichwa changu si dhaifu!
 
Yeah... kama ambavyo weye hukujali sura yangu. Ngoma droo bana..

 
Yeah... kama ambavyo weye hukujali sura yangu. Ngoma droo bana..

ila aseee ilikuaje hii couple ikaoana?? mbona hakuna mahusiano?? jamaa atakuwa vema kunako maswala, mpaka dada wa kiphilipino, akachanganyikiwa! lol! hubby wangu usijali, pamoja na yote, nitakupenda milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…