Mimi ODM... Nitoke na nani leo??



shshshshshshs gfsonwin mu]y sweetwife anamtafuta dogo ron m, ambaye kama unakumbuka nilimtuma kwako akuletee kale kabahasha kwa siri....umenisoma eeh shem cacico....so usiwe na wasi wasi
 
Last edited by a moderator:
shshshshshshs gfsonwin mu]y sweetwife anamtafuta dogo ron m, ambaye kama unakumbuka nilimtuma kwako akuletee kale kabahasha kwa siri....umenisoma eeh shem cacico....so usiwe na wasi wasi
mmmhhhh labda kapeleka kwa rama au zoka TISS, maana kwangu haujafika huo mzigo! ulikuwa unaogopa ODM atakung'oa macho kwa plaiz, nasikia msangi, rama na zoka, wamesema sasa hivi hwang'oi tena kucha wala meno! watang'oa macho, ulimi ili usiwataje tena, kwa plaiz! lol!
 

Usiombee hayo kwangu please
 
babu Asprin mie nakushauri utoke na BADILI TABIA


ila angalia usije ukalipuliwa na Sniper riffle




maana kutembea na mrembo kama badili tabia ni sawa na kuikaanga roho yako tena kwa kutumia mafuta ya transfoma.

Khaaaaa! Aisee nilenge ya kifuani asee. kuliko kuachia hii murembo BADILI TABIA.
 
Last edited by a moderator:
AM A NEW MEMBER CHITCHAT.
Mnanikaribisha,hamnikaribishi?
Ubabe ubabe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…